MOYO KUSHIDWA KUSUKUMA DAMU: Sababu, Dalili, na Matibabu
Maana ya Heart Failure
Heart Failure ni hali ambapo moyo unashindwa kusukuma damu kwa ufanisi wa kutosha ili kukidhi mahitaji ya mwili. Inaweza kuwa ya kushindwa kwa upande wa kushoto, kulia, au pande zote mbili za moyo.
Sababu za Heart Failure
Shinikizo la damu la muda mrefu (Hypertension)
Magonjwa ya mishipa ya moyo (Coronary Artery Disease)
Mshtuko wa moyo (Heart Attack)
Matatizo ya valvu za moyo
Unene kupita kiasi
Dalili za Heart Failure
Kupumua kwa shida (hasa unapo lala)
Uchovu wa mara kwa mara
Kuvimba miguu na tumbo
Moyo kwenda mbio (palpitations)
Kukohoa na kutoa makohozi meupe
Njia za Matibabu na Udhibiti
Kudhibiti shinikizo la damu
Kufanya mazoezi ya mwili mara kwa mara
Kutumia dawa kama diuretics, beta-blockers, na ACE inhibitors
Kuepuka chumvi nyingi kwenye chakula
Kwa visa vya hatari, upasuaji kama heart transplant unaweza kuhitajika
hellow keep going harafu jitaid kuongeza hzo content juu hapo
ReplyDelete