KISUKALI NA MAELEZO YAKE PAMOJA NA MATIBABU YAKE

 Diabetes: What It Is, Causes, Symptoms ...

KISUKALI (DM): Aina, Dalili, Sababu, na Namna ya Kudhibiti


Maana ya KISUKALI


Ugojwa wa kisukali (DM) ni kundi la magonjwa yanayoathiri jinsi mwili unavyotumia sukari (glucose). Glucose ni chanzo kikuu cha nishati kwa mwili, lakini kwa wagonjwa wa DM, kuna tatizo katika kuzalisha au kutumia insulini, homoni inayodhibiti kiwango cha sukari mwilini.


Aina za kisukali


1. Kisukali Aina 1 – Mwili hausambazi insulini kabisa. Mara nyingi huwapata watoto na vijana.



2. Kisukali aina 2 – Mwili hautumii insulini ipasavyo. Ni aina ya kawaida zaidi na mara nyingi huhusiana na maisha duni ya lishe na uzito mkubwa.



3. Kisukali cha Mimba  – Huwaathiri wanawake wajawazito lakini hupotea baada ya kujifungua.




Dalili za Kisukali


Kiu kupita kiasi


Kukojoa mara kwa mara


Kupungua uzito bila sababu


Uchovu mwingi


Maambukizi ya mara kwa mara, hasa kwenye ngozi na sehemu za siri



Sababu za KisukariDalili za kwanza za ugonjwa wa kisukari ...


Urithi wa vinasaba (Genetics)


Mtindo wa maisha duni (Lishe mbaya na kutokufanya mazoezi)


Uzito mkubwa wa mwili (Obesity)


Matatizo ya mfumo wa kinga kwa Aina 1 Ya kisukali



Njia za Kudhibiti na Kutibu kisukali

hospitalized diabetes mellitus patients ...


Kula chakula bora chenye wanga kidogo


Kufanya mazoezi mara kwa mara


Kudhibiti uzito wa mwili


Kutumia dawa kama insulini (kwa wenye Type 1) au vidonge vya kisukari


Kufuatilia kiwango cha sukari kwa kutumia glucometer 

Matibabu ya kisukali  ni pamoja na kutumia dawa za hospitali kwa usahihi kabsa ikiwemo insulin na zile za vidonge kama metforminugonjwa wa kisukari ...

Comments